Rais wa Marekani anatafakari kwa dhati kuhamishia ubalozi wa nchini yake nchini Israel mjini Jerusalem, Kundi la IS limedai kuhusika na shambulizi lililoulenga msafara wa NATO mjini Kabul, Mzozo kati ya Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani na Makamanda wakuu wa jeshi, na FC Monaco yajinoa kufuana na Juventus katika nusu fainali nyingine ya Champions League..Ni Papo kwa Papo tarehe 03.05.2017.