1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marekani yaahidi kushirikiana na Tanzania

Bruce Amani
7 Julai 2021

Marekani imeahidi kushirikiana na Tanzania katika masuala kadhaa yakiwemo mapambano dhidi ya janga la virusi vya corona katika mazungumzo ya simu kati ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani Antony Blinken. Je, mazungumzo haya yana maana gani.

https://p.dw.com/p/3w9Ly