Maoni: Yaangazia mvutano kati ya Saudi Arabia na Iran | Media Center | DW | 20.09.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Maoni: Yaangazia mvutano kati ya Saudi Arabia na Iran

Katika maoni wiki hii Saumu Mwasimba anazungumzia mivutano kati ya Saudi Arabia na Iran baada ya kushambuliwa vituo vya mafuta vya Saudi arabia, mashambulio ambayo Iran inatajwa kuhusika. Waasi wa Houthi nchini Yemen wamekiri kuhusika na shambulio hilo, lakini Marekani inasisitiza Iran ndio wa kulaumiwa kwa tukio hilo. Haya yote yanazua wasiwasi juu ya amani ya Mashariki ya kati. Sikiliza.

Sikiliza sauti 39:00