Maoni kuhusu Mjadala baina ya Angela Merkel na Frank-Walter Steinmeier | Matukio ya Kisiasa | DW | 14.09.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Maoni kuhusu Mjadala baina ya Angela Merkel na Frank-Walter Steinmeier

Kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na Mjadala wa wagombea kiti cha ukansela baina ya Angela Merkel na Frank-Walter Steinmeier.

default

Bibi Angela Merkel pamoja na Frank-Walter Steinmeier upande wake wa kulia

Zikiwa zimebakia takriban siku 13 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu, wagombea wawili wa kiti cha Ukansela, Angela Merkel wa chama cha CDU na Frank-Walter Steinmeier wa chama cha SPD jana usiku walishindana katika mjadala kwa njia ya televisheni kubainisha nani ana hoja nzito kuliko mwenzake. Hivi punde nimezungumza na Bibi Hannelore Steer, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Radio Berlin, Brandenburg. Grace Kabogo alianza kwa kumuuliza mtazamo wake kuhusu wagombea hao baada ya kuuangalia mjadala huo jana usiku.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 14.09.2009
 • Mwandishi Samia Othman
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/Jf2B
 • Tarehe 14.09.2009
 • Mwandishi Samia Othman
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/Jf2B
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com