Maadhimisho ya siku ya wakimbizi duniani | Masuala ya Jamii | DW | 18.06.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Maadhimisho ya siku ya wakimbizi duniani

Hali ya wakimbizi nchini Kenya bado ni mbaya. Shirika la UNHCR linasema Kenya inawapa hifadhi wakimbizi wapatao 964,000 wakiwemo laki moja unusu wa ndani

default

Wakimbizi wa kisomali wakicheza kwenye maji nje ya kambi ya wakimbizi ya Daadab, kaskazini mwa Kenya

Idadi ya wakimbizi nchini Kenya walio chini ya Shilika la Umoja wa mataifa la wakimbizi UNHCR inatarajiwa kuongezeka kutoka laki 660,000 mwaka huu hadi 681,000 ifikapo mwishoni mwa mwaka ujao. Kwa mujibu wa takwimu kutoka shirika la UNHCR, Kenya inawapa hifadhi wakimbizi wapatao 964,000 wakiwemo laki moja unusu wa ndani maarufu IDPs. Idadi kubwa ya wakimbizi hao wanaishi katika kambi mbili za wakimbizi za Daadab kaskazini mashariki mwa Kenya na Kakuma huko Kaskazini huku wachache wakijitegemea wenyewe katika sehemu mbalimbali za nchi.

Mwandishi wetu Alfred Kiti Kutoka Nairobi ametuandalia taarifa hiyo wakati huu wa maadhimisho ya siku ya wakimbizi duniani.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 18.06.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/NwwE
 • Tarehe 18.06.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/NwwE

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com