Leo ni siku ya mtoto wa Afrika
16 Juni 2010Matangazo
Wakati siku hii ikikumbukwa huko katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo asilimia 80 ya watoto wanaishi katika umasikini mkubwa. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Umoja wa Mataifa la watoto, UNICEF, jiji la Kinshasa lina watoto 40,000 wanaoishi mitaani kutokana na umasikini na vita vya muda mrefu nchini humo.
Kutoka Kinshasa mwandishi wetu Salehe Mwanamilongo anaarifu zaidi
Mwandishi:Salehe Mwanamilongo
Mhariri: Josephat Charo