KINSHASA:Mwanamuziki maarufu barani afrika afariki ghafla | Habari za Ulimwengu | DW | 11.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KINSHASA:Mwanamuziki maarufu barani afrika afariki ghafla

Mwanamuziki mashuhuri barani afrika, Madilu System amefariki dunia ghafla leo hii mjini Kinshasa katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya watu wa Kongo.

Madilu System amefariki kutokana na shinikizo la moyo baada ya kufikishwa katika hospitali mmoja leo asubuhi mjini Kinshasa.

Mwanamuziki huyo ambaye alijipatia umaarufu mkubwa barani afrika, alikuwa akijianda kutumbuiza katika tamasha kubwa leo hii jijini Kinshasa.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com