KABUL: Hali ya usalama ni ngumu nchini Afghanistan | Habari za Ulimwengu | DW | 17.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KABUL: Hali ya usalama ni ngumu nchini Afghanistan

Kiongozi wa EUPOL,tume ya Umoja wa Ulaya kutoa mafunzo kwa polisi nchini Afghanistan,Friederich Eichele amesema,ana matumani mema kuhusu ufanisi wa kikosi cha polisi wa Kiafghanistan.Eichele amekiri kuwa hali ya usalama ni ngumu nchini Afghanistan.Wakati huo huo akaongezea kuwa uzoefu wa tume zingine umezingatiwa na anaamini kuwa wamejitayarisha vyema kwa hali hiyo ngumu ya usalama.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com