Je kansela ajaye wa Ujerumani ataweza kuleta mabadiliko Afrika? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Je kansela ajaye wa Ujerumani ataweza kuleta mabadiliko Afrika?

Uhamiaji, usalama na Maendeleo- ni mada zinazogubika uhusiano wa Ujerumani na mataifa ya Afrika. Kansela Angela Merkel na serikali yake wamekuwa wakizungumzia uwekezaji na kubuni nafasi sawa za ushirikiano, lakini hali ya ukosefu wa usawa imesalia palepale. Je hali hii inaweza kubadilika chini ya kansela mpya wa Ujerumani?

Tazama vidio 03:37