India na Pakistan zabadilishana orodha ya maeneo ya kinuklia. | Habari za Ulimwengu | DW | 02.01.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

India na Pakistan zabadilishana orodha ya maeneo ya kinuklia.

New Delhi. India na Pakistan zimebadilishana orodha ya maeneo yake ya kinuklia na vifaa. Orodha hiyo ilikabidhiwa kwa wakati mmoja na nchi hizo chini ya makubaliano ya muda wa miaka 17 yaliyofikiwa hapo Desemba 31, 1988. Chini ya makubaliano hayo nchi zote zinatakiwa kutoshambulia maeneo ya nchi nyingine ya kinuklia. Nchi hizo jirani zenye silaha za kinuklia zimerejea katika majadiliano ya amani mwaka 2004.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com