1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Bollywood

Sekta ya filamu ya India imekuwa na mafanikio ya kustajabisha. Wakati ambapo waigizaji wa Marekani wakishiriki filamu za Bollywood, ni vigumu kufikiria ulimwengu ulivyokuwa kabla ya kuja kwa filamu za Kihindi.

Filamu za Bollywood zimejizolea umaarufu wa kipekee ulimwenguni kutokana na vionjo vyake vya kuburudisha. Nchini India filamu za Bollywood zinachangia karibu nusu ya mapato yote yatokanayo na sekta ya filamu. Studio nyingi za Bollywood zinakutikana ndani au karibu na mji wa Mumbai, na kwa pamoja zinaunda mmoja ya sekta kubwa zaidi za filamu duniani.

Onesha makala zaidi