1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mahatma Gandhi

Mohandas Karamchand Gandhi alikuwa mwanaharakati wa India, ambaye alikuwa kiongozi wa vuguvugu la kudai uhuru kutoka kwa watawala wa Kiingereza.

Akitumia mbinu ya uasi wa kiraia usio wa vurugu, Gandhi aliiongoza India kupata uhuru, na kuhamasisha mavuguvugu kadhaa ya haki za kiraia na uhuru duniani. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Gandhi.

Onesha makala zaidi