Hisia tofauti zatanda Uganda baada ya matokeo | Habari za Ulimwengu | DW | 21.02.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Hisia tofauti zatanda Uganda baada ya matokeo

Nchini Uganda inaripotiwa hali ni ya hisia tafauti miongoni mwa wakaazi wake baada ya hapo jana rais Museveni kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais

default

Wafuasi wa chama tawala NRM wakisherehekea mitaani

Mpinzani wake mkuu Kizza Besigye ameyakosoa matokeo hayo na kudai kwamba hana imani na mahakama kuu ya nchi hiyo hivyo basi anatafakari juu ya kuchukua hatua nyingine.Kizza Besigye amedai kwamba kumefanyika udanganyifu mkubwa katika zoezi zima la upigaji kura.Nini maoni ya walioko nje na Uganda kuhusu hali ilivyo.Nimezungumza na Salim Msoma mchambuzi wa masuala ya Kisiasa kutoka Tanzania na rafiki wa rais Yoweri Museveni na kwanza anaelezea hisia zake kuhusu ushindi wa Museveni.

Mwandishi,Saumu Mwasimba

Mhariri:AbdulRahman

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com