1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya kisiwani Pemba na zoezi la Uandikishaji wapiga kura

17 Septemba 2009

Hali ya kiusalama katika kisiwa cha Pemba imeelezwa leo kuwa shwari baada ya machafuko yaliolikumba zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari la kudumu kwa ajili ya uchaguzi mkuu mwaka ujao.

https://p.dw.com/p/Jj4M

Pamoja na hayo inaripotiwa bado kuna idadi kubwa ya wanajeshi wanaopiga doria, kukiwa na maoni tofauti juu ya kile kinachoendelea katika zoezi hilo katika maeneo ya Pemba ambako zoezi hilo limeanza tena.

Tumeweza kupata hivi punde maoni ya baadhi ya wakaazi wa maeneo hayo ambao walikuwa na haya ya kusimulia :-

Mwandishi: Halima Nyanza

Mhariri: Sekione Kitojo