Chama cha Chadema Tanzania kimekwenda mahakamani kuishtaki serikali ya Zanzibar | Matukio ya Kisiasa | DW | 08.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Chama cha Chadema Tanzania kimekwenda mahakamani kuishtaki serikali ya Zanzibar

Chama cha Chadema leo kimekwenda mahakamani kufungua kesi dhidi ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa madai kwamba imekiuka sheria mbili, za katiba za Tanzania na Zanzibar kuhusiana na swala la vitambulisho.

Munira Muhammed alizungumza na Hamad Musa Yusuf Naibu katibu mkuu wa Chadema Zanzibar. Alianza kwa kumuuliza aeleze kwa kina  hatua hii waliyoichukuwa.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com