BERLIN: Mabomu ya kutegwa ardhini yameua zaidi ya 5,750 | Habari za Ulimwengu | DW | 12.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN: Mabomu ya kutegwa ardhini yameua zaidi ya 5,750

Kote duniani,zaidi ya watu 5,750 ama waliua au walijeruhiwa kwa mabomu yaliyotegwa chini ya ardhi.Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya mwaka ya ICBL-shirika linalofanya kampeni kupiga marufuku kutumia mabomu ya aina hiyo.

Idadi ya watu walioathirika imeongezeka katika nchi kama Pakistan,Burma, Somalia na Lebanon.Asilimia 34 ya wale waliouawa au kujeruhiwa ni watoto.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com