Tuliyo nayo ni pamoja na : Rais Mteule wa Marekani Donald Trump apanga kuwafukuza wahamiaji wanaoishi nchini humo kinyume cha sheria// Ujerumani yaendelea na mchakato wa kumpata mrithi wa Rais wa sasa Joachim Gauck//Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wakutana kujadili mustakabali wa Umoja huo na Marekani.