1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.01.2026 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

DIRA.BZ14 Januari 2026

Iran yasema Marekani inatafuta 'kisingizio cha kuingilia kati kijeshi'. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akiri hali ni ngumu nchini Ukraine. Na viongozi wa Denmark na Greenland waungana kupinga wito wa rais Donald Trump kutaka kulitwaa eneo la Greenland.

https://p.dw.com/p/56mJk