1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Jumuiya ya Kujihami (NATO)

NATO ni muungano wa kijeshi kati ya mataifa. Wanachama wake – yakiwemo mengi ya mataifa ya Ulaya Magharibi, Marekani, Canada na Uturuki – yalikubaliana kusaidia kiulinzi iwapo moja wapo atashambuliwa kutoka nje.

NATO ilijemgewe msingi wake katika mkataba wa North Atlantic uliyosainiwa Aprili 4 1949, miaka minne baada ya kumalizika kwa vita kuu vya pili vya dunia. Ina wanachama 28, Ujerumani Magharibi ilijiunga 1955. Jumuiya hiyo iliingizwa katika kuvunjika kwa Yugoslavia, na iliingilia kw amara ya kwanza katika Yugoslavia ya zamani katika miaka ya 1990. Maudhui za DW kuhusu NATO zinapatikana katika ukurasa huu.

Onesha makala zaidi