1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07,07,2017: Taarifa ya habari asubuhi

Isaac Gamba
7 Julai 2017

Tuliyo nayo ni pamoja na : Kansela wa Ujerumani Angela Merkel afanya mazungumzo na Rais Donald Trump// Polisi wapambana na waandamanaji mjini Hamburg// Mahakama ya kimataifa ya ICC yasema Afrika Kusini ilipaswa kumkamata Rais wa Sudan Omar al Bashir

https://p.dw.com/p/2g74w