1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Hamburg

Hamburg ni mji wa bandari ulioko kaskazini mwa Ujerumani, wenye idadi ya watu milioni 1.75. Kwa upande wa siasa, mji wa Hamburg una viti 3 kati ya 69 ndani ya baraza la wawakilishi wa majimbo.

Mji wa Hamburg una ushirikiano na mji wa kibiashara wa Tanzania – Dar es Salaam, ambao pia ndiyo makao makuu ya serikali. Katika ukurasa huu utaweza kupata taarifa za DW kuhusu mji wa Hamburg.

Onesha makala zaidi