1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Hambuger SV

Hambuger SV ni timu pekee ya kandada miongoni mwa waanzilishi wa ligi ya Ujerumani- Bundesliga - iliyoepukana na kitisho cha kushushwa daraja.

Ingawa Hambuger imefanikiwa kuepuka kitisho cha kushushwa daraja ndani ya ligi ya Ujerumani, kwa miaka ya hivi karibuni timu hiyo imepoteza hadhi yake iliyokuwa nayo miaka iliyopita. Mara ya mwisho timu hii kunyakuwa ushindi katika mashindano ya Bundesliga ni mwaka 1982/83.

Onesha makala zaidi