Zanzibar yaadhimisha miaka 47 ya Mapinduzi | Matukio ya Kisiasa | DW | 12.01.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Zanzibar yaadhimisha miaka 47 ya Mapinduzi

Katika mahojiano haya, mmoja wa washiriki wa Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964, mwanachama wa chama cha zamani cha Umma, Bwana Shaaban Salum, anazungumzia anavyoona Mapinduzi aliyoshiriki kuyafanya miaka 47 baadaye.

default

Kulia: Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein akipeana mkono na makamo wa kwanza wa Rais Seif Sharif Hamad

Bwana Shaaban Salum alikuwa na haya ya kuelezea kuhusu anavyoyaona mapinduzi hayo, miaka 47 baadae.

Mwandishi: Halima Nyanza

Mpitiaji: Mohamed Abdulrahman

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com