Zanzibar: Ajali ya Meli MV Spice Islanders
15 Septemba 2011Matangazo
Meli hiyo inaelezwa kuwa ilikuwa imebeba kiasi cha abiria 3,000, wakati uwezo wake ni kubeba abiria 600 tu.
Halima Nyanza alizungumza na mkuu wa wilaya ya Wete mkoa wa kaskazini Pemba Omar Khamis Othman, kutaka kuthibitisha juu ya idadi hiyo ya vifo.
Mwandishi: Halima Nyanza
Mhariri: Josephat Charo