Pua ni kiungo chenye mishipa mingi zaidi ya damu kwenye uso wa mwanaadamu, jambo ambalo linakifanya kiwe rahisi kudhurika ikiwa mshipa wowote wa damu utapata athari, na matokeo yake yakawa ni kuvuja damu kutoka puani.
https://p.dw.com/p/Rsfw
Matangazo
Maryam Dodo Abdullah anazungumzia aina mbalimbali za maradhi yanayohusiana na uvujaji damu puani, sababu, tiba na kinga yake.
Mtayarishaji: Maryam Dodo Abdullah
Mhariri: Josephat Charo