Wazanzibari sasa watalipia huduma ya kupatiwa maji safi na salama | Matukio ya Kisiasa | DW | 30.09.2008
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Wazanzibari sasa watalipia huduma ya kupatiwa maji safi na salama

Zanzibari: Maji safi na ya salama sasa sio bure tena

Rais wa Visiwa vya Zanzibar. Mheshimiwa Amani Karume

Rais wa Visiwa vya Zanzibar. Mheshimiwa Amani Karume

Serikali ya Zanzibar imeanza kuwatoza fedha wananchi kwa huduma ya maji safi na salama kuanzia mwezi Agosti 2008, ambapo wananchi wa kawaida watalipa shilingi 4,000, huku nyumba za ibada, ikiwemo misikiti na makanisa, itatakiwa ilipe shilingi 3,000, na ofisi za serikali zitatakiwa kulipa kuanzia shilingi 20,000 hadi laki mbili, itategemea na matumizi ya ofisi hizo ambapo viwango hivyo vitatakiwa kulipwa kila mwezi.


Zaidi ni kutoka kwa mwandishi wetu wa Visiwani Zanzibar, Salma Said
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 30.09.2008
 • Mwandishi Salma Said
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/FRfe
 • Tarehe 30.09.2008
 • Mwandishi Salma Said
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/FRfe
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com