Watu 10 wafariki baada ya kunywa pombe haramu
26 Julai 2010Matangazo
Watu 10 wamekufa baada ya kunywa pombe haramu ya kufisha katika mkoa w amabanda wa Kibera mjini Nairobi, Kenya. Wakithibitisha tukio hilo, polisi wamesema watu hao walikufa katika maeneo tofauti baada ya kunywa pombe hiyo jana usiku.Mwandishi wetu Alfredf Kiti ametutumia ripoti ifuatayo.