Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Arusha | Matukio ya Kisiasa | DW | 29.04.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Arusha

Wakuu wa nchi tano wanachama wa jumuiya Afrika Mashariki EAC, wanakutana hii leo mjini Arusha, makao makuu ya Jumuiya hiyo.

Rais Paul Kagame, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Rais Paul Kagame, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wake rais Paul Kagame wa Rwanda na kinahudhuriwa na wakuu wote wa Jumuiya hiyo .

Mwandishi wetu Nicodemus Ikonko anaarifu zaidi kutoka Arusha.


Mwandishi: Nicodemus Ikonko
Mhariri: Mohamed Abdulrahman
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com