Wahouthi wasema wamemuua Ali Abdallah Saleh | Media Center | DW | 04.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wahouthi wasema wamemuua Ali Abdallah Saleh

Waasi wa Kihouthi mjini Sanaa wanasema wamemuua kiongozi wa zamani wa Yemen, Ali Saleh, Rais Donald Trump wa Marekani bado hajaamua rasmi kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel na huko DRC, Human Rights Watch yasema serikali iliwatumia waasi wa zamani kuwavamia na kuwashambulia waandamanaji wanaompinga Rais Joseph Kabila. Papo kwa Papo 4.12.2017.

Tazama vidio 02:20