Wabunge wasusia vikao vya bunge huko Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 30.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Wabunge wasusia vikao vya bunge huko Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Wabunge wa Kivu wamegomea vikao vya bunge hadi serikali itakapohakikisha usalama wa wananchi wa maeneo wanayowakilisha.

Hii inakuja siku moja baada ya wabunge hao kususia mkutano ulioitishwa na waziri wa ndani kuhusu kutafuta suluhu ya kudumu kwa ajili ya amani huko Kivu. Hivi majuzi raia wasiopungua kumi na saba waliuwawa na wanamgambo wa FDLR kijijini Kaniola jimboni Kivu Kusini.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti zaidi.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com