Utandawazi – Kipindi 10 – Matatizo ya Utangamano25.05.201125 Mei 2011Ni matatizo gani yanayowakumba Waafrika wanapojaribu kutangamana Ujerumani? Tembelea pamoja nasi duka la Kiafrika mjini Bonn, ambako Waafrika wengi waishio karibu na duka hilo hukutana kupiga gumzo.https://p.dw.com/p/RHfvMatangazo