Ukimwi katika mji wa Matadi,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
14 Machi 2007
Mji wa Matadi katika jimbo la Bakongo la Jamhuri ya kidemokrsia ya Kongo unatajwa kuwa kuwa ni miongoni mwa maeneo yaliyoathirika zaidi na uambukizaji wa maradhi hatari ya Ukimwi.