SiasaUjerumani yaidhinisha ndoa za jinsia mojaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaBruce Amani30.06.201730 Juni 2017Bunge la Ujerumani limepiga kura kuhalalisha ndoa za jinsia moja, Jeshi la Iraq limeshambulia ngome ya mwisho ya kundi la IS mjini Mosul na Ujerumani kupambana na Chile katika fainali ya Kombe la Mabara Jumapili nchini Urusihttps://p.dw.com/p/2fhw5Matangazo