1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani baada ya Uchaguzi.

28 Septemba 2017

Zilizala ya kisiasa imeipiga Ujerumani baada ya uchaguzi wa bunge, wakati chama cha AfD kinachopalilia chuki dhidi ya wageni kikiingia bungeni kwa mara ya kwanza tangu vita vya pili vya dunia na kishindo kinachomkabili Kansela Angela Merkel katika kuunda serikali ya muungano. Ungana na Oumilkheir kujua mengi kuhusu yanayoendelea kutokea baada ya uchaguzi.

https://p.dw.com/p/2kuA2