1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Alexander Gauland

Alexander Eberhardt Gauland ni mwanasiasa wa Ujerumani, mwandishi habari na wakili anaehudumu kama kiongozi wa kundi la wabunge wa AfD katika Bundestag tangu 2017, na naibu kiongozi wa chama hicho tangu Julai 2015.

Gauland ni mwanasiasa wa juu wa chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha Ujerumani - Alternative für Deutschland - au Chama Mbadala kwa Ujerumani (AfD). Ni mwasisi mwenza wa chama hicho na ndie msemaji wake wa ngazi ya shirikisho. Pia ndie kiongozi wa chama hicho katika jimbo la Brandenburg.

Onesha makala zaidi