Ufaransa yakanusha kuhusika na mauaji ya Rwanda ya 1994 | Matukio ya Kisiasa | DW | 07.08.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Ufaransa yakanusha kuhusika na mauaji ya Rwanda ya 1994

Baada ya wiki hii Kamisheni ya uchunguzi ya serikali ya Rwanda kutoa ripoti yake kuhusu mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 na kuwahusisha viongozi kadhaa wa utawala wa zamani wa Ufaransa kuhusika na mauaji hayo.

Wahanga wa mauaji ya Kimbari 1994

Wahanga wa mauaji ya Kimbari 1994

Rwanda kwa mara ya kwanza imesema inaweka uwezekano wa kuwafuatilizia kisheria waliotajwa katika ripoti hiyo.Ili kupata mwangaza zaidi juu ya suala hili kutoka mjini Paris, Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa za Ufaransa kuelekea Afrika Salim Himid na kwanza alimuuliza je tuhuma za Rwanda zimepewa uzito gani nchini humo.Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com