Uchambuzi juu ya kesi ya Ongwen | Matukio ya Afrika | DW | 21.01.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Uchambuzi juu ya kesi ya Ongwen

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu-ICC, leo imeanza kusikiliza kesi ya aliyekuwa kamanda mkuu wa kundi la waasi la Uganda la Lord's Resistance Army-LRA, Dominic Ongwen. Mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Kampala, Ali Mutasa anaeleza

Sikiliza sauti 03:39