1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tuzo ya amani ya Westfalia

Hamidou, Oumilkher11 Oktoba 2008

Katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa mataifa Kofi Annan atunzwa mwaka huu

https://p.dw.com/p/FY6v

MÜNSTER:


Katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa mataifa Kofi Annan ametunukiwa zawadi ya amani ya Westfalia.Licha ya misuko suko yote iliyotokea,Kofi Annan ameendelea kuamini amani inaweza kupatikana ulimwenguni" wamesema hayo wasimamizi wa tuzo hiyo mjini Münster.Zawadi hiyo yenye thamani ya yuro 50 elfu hutolewa kila baada ya miaka miwili.Tuzo ya amani ya Westfalia imeanza kutolewa tangu mwaka 1998.