Tundu Lissu na hamahama ya kisiasa Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 10.10.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Tundu Lissu na hamahama ya kisiasa Tanzania

Suala la hamahama ya wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania na kujiunga na chama tawala cha CCM linaendelea kuzua gumzo, mnamo wakati taifa hilo miaka miwili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mwengine mkuu. Mohammed Khelef amezungumza na mbunge wa upinzani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, alieko Ubelgiji kwa sasa na ambaye chama chake, CHADEMA, hadi sasa ndiye muathirika mkubwa wa hamahama hii.

Sikiliza sauti 07:55