Theresa May asaini waraka wa kujiondoa EU | Media Center | DW | 29.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Theresa May asaini waraka wa kujiondoa EU

Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May asaini waraka wa kujiondoa Umoja wa Ulaya; Simone Gbagbo afutiwa mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita; na Viongozi wa nchi za Kiarabu wanakutana Jordan katika mkutano wa kilele unaozungumzia vita vya Syria, Iraq, Libya na Yemen mapambano dhidi ya ugaidi.

Tazama vidio 01:57
Sasa moja kwa moja
dakika (0)