Tanzania: Chama cha CUF kinataka muwafaka wa Zimbabwe uigwe Zanzibar | Matukio ya Kisiasa | DW | 17.09.2008
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Tanzania: Chama cha CUF kinataka muwafaka wa Zimbabwe uigwe Zanzibar

Muwafaka wa Zimbabwe uigwe Zanzibar, inasema CUF

default

Ripota wa Deutsche Welle, Mohammed Abdul Rahman(kushoto), na mtetezi wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha CUF, Seif Shariff Hamad(katikati), katika kituo cha kupigia kura huko Zanzibar mwaka 2005

Mwenyekiti wa Chama kikuu cha Upinzani cha Tanzania, CUF, Profesa Ibrahim Lipumba,ametoa mwito kwa Rais Jakaya Kikwete wa nchi hiyo, ambaye pia ni mweyekiti wa Umoja wa Afrika, AU, aige mfano wa kupatikana muwafaka wa kisiasa baina ya vyama vinavopingana huko Zimbabwe na Kenya na kuwa kichocheo kwake ili upatikane kwa haraka muwafaka wa kisiasa huko Visiwani Zanzibar baina ya chama tawala cha CCM na chama chake cha CUF. Hayo aliyasema katika mahojiano ya simu aliofanyiwa.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 17.09.2008
 • Mwandishi Othman, Miraji
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/FJzV
 • Tarehe 17.09.2008
 • Mwandishi Othman, Miraji
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/FJzV
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com