1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
17 Oktoba 2019

https://p.dw.com/p/3RPyg

Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel wameelezea matumaini ya kupatikana makubaliano na Uingereza kuhusu Brexit.
Mvutano washamiri baina ya Rais Donald Trump wa Marekani na Bunge la nchi yake, kuhusu hatua yake ya kuwaondoa wanajeshi kaskazini mwa Syria.
Mtu mmoja ameuawa katika vurugu kwenye kituo cha kuhesabu kura nchini Msumbiji.