Sydney. Afikishwa mahakama baada ya siku 12. | Habari za Ulimwengu | DW | 14.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Sydney. Afikishwa mahakama baada ya siku 12.

Polisi wa Australia wamemfikisha mahakamani daktari raia wa India, siku 12 baada ya kumkamata akihusishwa na jaribio lililoshindwa la shambulio la bomu katika gari nchini Uingereza.

Jeshi la polisi la Australia limesema Mohammed Haneef ameshtakiwa kwa kutoa msaada kwa kundi la kigaidi, kosi ambalo linahusika na adhabu ya kwenda jela miaka 15.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com