1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mimi ni kizazi cha Usawa #GenerationEquality

Josephat Charo
6 Machi 2020

Siku ya kimataifa ya wanawake huadhimishwa kila mwaka tarehe 8 mwezi Machi. Kauli mbiu ya mwaka huu ni - Mimi ni kizazi cha usawa: Kutambua Haki za Wanawake. Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni mbele ya meza ya Duara.

https://p.dw.com/p/3Yx7v