Serikali ya Kongo yakutana na viongozi wa makundi ya Waasi
13 Mei 2009Matangazo
Hatua hiyo ya serikali inafuatia makubaliano ya amani baina yake na makundi yote ya wapiganaji yaliotiwa saini mjini GOMA tarehe 23 machi iliopita.Tayari tofauti zimeanza kujitokeza baina ya wajumbe kwenye mkutano huo ambao wamekuwa wakidai pia kushirikishwa kwenye serikali.
Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo:
Mwandishi: Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Mohamed Abdulrahman