Samia Suluhu - makamu wa rais wa Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 27.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Samia Suluhu - makamu wa rais wa Tanzania

Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Tanzania imepata makamu wa rais mwanamke. Je, Samia Suluhu ni nani? Kipindi cha Wanawake na Maendeleo kinazungumza na watu wanaomfahamu Samia Suluhu kwa ukaribu.

Sikiliza sauti 09:47

Msikilize Ambia Hirsi katika Wanawake na Maendeleo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com