Ripoti iliyotolewa na International Republican kuhusu serikali ya Kenya
18 Aprili 2007
Kulingana na ripoti iliyotolewa na taasisi ya Marekani iitwayo International Republican,zaidi ya asilimia 65 ya wabunge wa Kenya watapoteza viti vyao kwenye uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Desemba kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao ipasavyo.
https://p.dw.com/p/CHFx
Matangazo
Pia ripoti hiyo imedai kwamba serikali ya rais Mwai Kibaki imeshindwa kuangamiza rushwa kwenye serikali na mashirika ya umma.