1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Amnesty International

Amnesty International (ambayo hujuilikana kwa umashuhuri wa Amnesty au AI) ni shirika lisilo la kiserikali lililojikita kwenye masuala ya haki za binaadamu. Lilianzishwa mwaka 1961 jijini London, Uingereza.

Amnesty hufuatilia uvunjwaji wa haki za binaadamu na kufanya kampeni za kuwataka wahusika kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria na vigezo vya kimataifa. Mwaka 1977, shirika hilo lilitunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa kampeni yake dhidi ya utesaji.

Onesha makala zaidi