Rais Obama aongoza Kumbukumbu ya mashambulio ya September 11 nchini Marekani. | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 11.09.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Rais Obama aongoza Kumbukumbu ya mashambulio ya September 11 nchini Marekani.

Wamarekani leo wanakumbuka miaka minane tangu magaidi wa kundi la Al Qaeda walipofanya mashambulio ya kigaidi.

default

Kituo cha World Trade Centre kilichoshambuliwa na magaidi September 11 miaka minane iliyopita

Magaidi hao wakitumia ndege walikishambulia kituo cha World Trade Centre mjini Newyork,pamoja na makao makuu ya wizara ya ulinzi , Pentagon mjini Washington. ambapo karibu watu alfu 3 waliuawa.Ibada za kuwakumbuka waliopoteza maisha yao zimepangwa kufanyika leo kote nchini humo. Kutoka Washington nimezungumza na mhadhiri wa Chuo kikuu Dr Nicholas Boaz ambaye kwanza anaelezea jinsi siku hiyo ya msiba mkubwa inavyokumbukwa hii leo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 11.09.2009
 • Mwandishi Jane Nyingi/ AFPE..Picha AFP
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/JdHB
 • Tarehe 11.09.2009
 • Mwandishi Jane Nyingi/ AFPE..Picha AFP
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/JdHB
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com