1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Kikwete ashinda awamu ya pili

5 Novemba 2010

Uchaguzi mkuu umetoa sura mpya kwa Tanzania hasa kuhusiana na kupanuka kwa mazingira ya kisiasa. Vyama vya upizani vimejipatia viti vingi ikilinganishwa na uchaguzi mkuu uliopita

https://p.dw.com/p/PxOQ
Kollege Mohammed Abdulrahm hat sie gerade aus Sansibar geschickt und überlässt der DW das Copyright
Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya KikwetePicha: DW
Hayawi hayawi, mwishowe huwa. Baada ya mchakato wa takriban mwezi mmoja wa kampeni ya kukata na shoka, hatimaye ni rasmi kwamba mgombea urais wa chama tawala CMM, Jakaya Mrisho Kikwete ndiye mshindi wa uchaguzi huo nchini Tanzania. Sherehe ya kuapishwa kwake inatarajiwa kuandaliwa Jumamosi 06.11.2010